Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mgonjwa wa mwisho wa Ebola nchini Uganda ameruhusiwa kutoka hospitalini baada ya kupona kabisa katika Hospitali ya Kitaifa ya Rufaa. Waziri wa Afya, Dkt. Chris Baryomunsi, alimkabidhi cheti cha kuruhusiwa…