Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mamlaka ya Maadili na Kupambana na Ufisadi nchini, EACC, imewakamata watu wawili kwa kusingizia kuwa maafisa wa tume hiyo na kuwatapeli raia. Washukiwa, Annastacia Mueni Kavemba na Stephen Muleu Ngati,…