Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Wimbi la simanzi limetanda katika kijiji cha Matura eneo la Magumu huko Kinangop, kaunti ya Nyandarua baada ya mtu kudaiwa kumuua kwa kumdunga kisu mtoto wa jirani na kuacha wengine…