Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma Renson Ingonga amekata rufaa dhidi ya uamuzi wa Mahakama Kuu wa kumwondolea mashtaka Gavana wa Trans Nzoia George Natembeya. Gavana huyo alikuwa anakabiliwa na mashtaka…