Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Rais wa Marekani Donald Trump ametia saini waraka wa makubaliano ya kusitisha mapigano katika Ukanda wa Gaza. Trump alitia saini waraka huo wakati wa mkutano wa viongozi wakuu ulioandaliwa jana…