Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Wanafunzi wa shule za upili walirejea shuleni mapema Jumatatu kote nchini Ufaransa huku maandamano machache yakishuhudiwa. Wanafunzi hao waliokuwa wakirejea kutoka kwa likizo ya majuma mawili walifunga barabara kadhaa katika…