Rais wa Ufaransa French Emmanuel Macron, amakataa barua ya kujiuzulu kwa waziri wa usalama wa ndani kufuatia maaandamano ya kitaifa ya wiki jana nchini humo kupinga gharama ya juu ya maisha.
Zaidi ya watu nusu milioni walijitokeza katika barabara za miji kadhaa ya Ufaransa Jumamosi iliyopita kulalamikia gharama ya juu ya maisha.
Maandamano hayo yalisababisha uharibifu mkubwa wa mali huku magari na majumba kadhaa ya kibiashara yakiteketezwa na maduka yakiporwa.
Waziri wa usalama wa kitaifa Laurent Nuñez alikuwa ameandika barua ya kujiuzulu mapema Jumatatu.