Wanafunzi wa shule za upili walirejea shuleni mapema Jumatatu kote nchini Ufaransa, huku maandamano machache yakishuhudiwa .
Wanafunzi hao waliokuwa wakirejea kutoka kwa likizo ya majuma mawili walifunga barara kadhaa katika miji ya Marseille na Paris mapema
Jumatatu huku Polisi wakikabiliana nao wakipin ga hatua ya kufunga barabara
Wanafunzi zaidi ya 3,000 walizuiwa na polisi walipojaribu kaundamana muda mfupi kabla ya kuelekea kwa likizo.
Maandamano ya kupinga mfumo wa bei za bidhaa,hali ngumu ya maisha na huduma mbovu kutoka kwa serikali yamechacha nchini Ufaransa yakiongozwa na vijana wa Gen Z.