Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Maafisa wa polisi wamemkamata mshukiwa wa wizi wa kimabavu, mjini Eldoret, kaunti ya Uasin Gishu. Alikamatwa baada ya ripoti kupigwa kwenye kituo cha polisi cha Parklands Juni 28, 2025, kuhusu…