Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Naibu Rais Kithure Kindiki amewataka Wakenya kujisajili kwa bima ya afya ili kupata mafao. Kindiki alikuwa akisema haya Jumamosi alipohudhuria kongamano la wahudumu bodaboda katika kaunti ya Embu. Aidha, Kindiki…