Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Waziri wa Barabara na Uchukuzi Davis Chirchir, alisema serikali iko makini kuongeza uwekezaji ili kuchochea ukuaji wa mfumo wa usafiri wa bandari ya Lamu, Sudan kusini Ethiopia almaarufu (LAPSSET).