Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Jaji Koome, kwa niaba ya familia ya Mahakama, alituma salamu za pole kwa familia, marafiki na waliofanya kazi na Kariuki, akitambua utumishi wake wa muda mrefu katika sekta ya umma.