Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Hongo ya shilingi elfu 10 imemweka msajili wa ardhi katika kaunti ya Busia matatani. Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC) inasema ilimkamata Collins Aiela Liyayi jana Jumanne alasiri…