Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Wimbo wa Dai Dai unalenga kuchangisha dola laki moja za Marekani sawa na shilingi bilioni 12.9 za Kenya, kugharimia masomo ya watoto na mafunzo ya soka kwa watoto kote duniani.