Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Taarifa ya Joseph Mwanjala Seneta wa kaunti ya Bungoma David Wafula Wakoli ameelezea wasiwasi kuhusu zaidi ya vitambulisho vya kitaifa 100,000 ambavyo havijachukuliwa katika kaunti ya Bungoma. Wakoli alikuwa akizungumza…