Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Waziri wa masuala ya kigeni wa Ubelgiji, Maxime Prévot, amesema nchi yake itaitambua Palestina mwezi huu na kuiwekea Israel vikwazo 12 vikali. Ubelgiji itaitambua rasmi Taifa la Palestina katika baraza…