Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Rais wa zamani wa Tanzania Jakaya Kikwete ameteuliwa kuwa Mwakilishi Mkuu wa Umoja wa Afrika, AU katika Upembe wa Afrika na Bahari ya Shamu. Uteuzi huo umefanywa na Mwenyekiti wa…