Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Rais wa Madagascar Andry Rajoelina ameomba muda wa mwaka mmoja kurekebisha changamoto za nchi hiyo, na kuahidi kuwa iwapo zitaendelea, atajiuzulu. Alisema hayo wakati wa mkutano katika ikulu yake na…