Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Huduma ya Taifa ya Polisi, NPS imesifia mkutano wa kisiasa wa vuguvugu la Linda Mwananchi uliofanywa Jumapili wiki iliyopita katika uwanja wa Jacarada, Embakasi katika jiji la Nairobi. Kwenye taarifa,…