Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Waziri wa Afya Aden Duale amehakikisha kuwa Kenya haijanakili kisa chochote cha ugonjwa wa Ebola, licha ya kuimarisha uchunguzi kufuatia mlipuko wa ugonjwa huo katika Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo…