Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Muungano wa Vyama vya Wafanyakazi nchini, COTU umepongeza hatua ya Rais William Ruto kufutilia mbali mikataba ya uwekezaji ya kampuni ya Adani kutoka India. Katibu Mkuu wa COTU Francis Atwoli…