Watu sita wameriporiwa kufariki huku wengine 30 wakifukiwa ndani ya mgodi ulioporomoka Ijumaa viungani mwa mji mkuu wa Zimbabwe, Harare.
Kulingana na shirika la utangazi la serika nchini Zimbabwe ZBC mgodi huo wa dhahabu uliporomoka huku chanzo chake kikiwa hakijabainika.
Watoto 13 wanaripotiwa kunusurika lwenye mkasa huo .