Shujaa waelekea Ufaransa kwa Michezo ya Olimpiki

Dismas Otuke
1 Min Read

Timu ya taifa ya raga ya Kenya kwa wachezaji sana upande maarufu kama Shujaa, imeondoka nchini kuelekea Ufaransa Jumatatu usiku kushiriki Michezo ya Olimpiki.

Shujaa ndiyo timu ya kwanza ya Kenya kuondoka nchini kushiriki makala ya 31 ya Michezo ya Olimpiki.

Timu hiyo iliagwa katika uwanja wa ndege na Waziri wa michezo Ababu Namwamba, aliyeandamana na Rais wa kamati ya Olimpiki Kenya NOC-K Dkt Paul Tergat.

Shujaa itakita kambi ya mazoezi eneo la Miramas,mjini Marseille kwa wiki mbili kabla ya kusafiri kwenda Paris kwa michezo hiyo itayoanza Julai 26 .

Kenya imejumuishwa kundi B pamoja na
Australia, Argentina na Samoa

Share This Article
Leave a Comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *