Shelly-ann Fraser Pryce afuzu kwa mashindano ya dunia kwa mara ya tisa

Pryce ambaye anajivunia dhahabu 10 za dunia ,fedha 5 na saba 1 ,ameshiriki mashindano ya dunia ya mwaka 2007,2009,2011,2013,2015,2019,2022,2023 na makala ya mwaka huu.

Dismas Otuke
1 Min Read

Bingwa wa medali 10 za dunia katika mbio za masafa mafupi mafupi Shelly Ann Fraser Pryce, kutoka Jamaica alifuzu kwa mashindano ya riadha duniani mwaka huu kwa mara ya tisa.

Pryce aliye na umri wa miaka 38 alimaliza wa tatu kwenye majaribio ya Jamaica ya kuteua kikosi cha Tokyo Ijumaa  iliyopita baada ya kumaliza wa tatu kwa sekunde 10.91, katika mita 100,nyuma ya Tina Clayton na Sharicka Jackson waliochukua nafasi za kwanza na pili mtawalia.

Pryce ambaye anajivunia dhahabu 10 za dunia ,fedha 5 na saba 1 ,ameshiriki mashindano ya dunia ya mwaka 2007,2009,2011,2013,2015,2019,2022,2023 na makala ya mwaka huu.

Inafahamika kuwa Pryce analenga kustaafu baada ya makala ya 20 ya mashindano ya Riadha ulimwenguni baina ya Septemba 13 na 21 mwaka

Website |  + posts
Share This Article