Sheila Jepkosgei apigwa marufuku kwa ulaji muku

Dismas Otuke
1 Min Read

Mshindi wa nishani ya fedha katika mbio za Kuala Lumpur mwaka uliopita, Sheila Jepkosgei Chesang, amepigwa marufuku kushiriki mashindano hayo kwa kosa la ukaji muku.

Jepkosgei, aliye na umri wa miaka 38, alipigwa marufuku ya miaka miwili kuanzia Januari 15 mwaka huu, baada ya kupatikana na matumizi ya dawa iliyoharamishwa aina ya Methylprednisolone.

Kitengo cha maada ili ya wanariadha AIU, kimefutilia mbali matokeo ya Jepkosgei kuanzia Oktoba 6 mwaka jana.

Share This Article
Leave a Comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *