Serikali kuanza kutoa maisha card

Dismas Otuke
0 Min Read

Serikali imetangaza kuanza mara moja utoaji wa kadi za Maisha kufuatia agizo la makahama kuu siku ya Ijumaa la kuondoa marufuku ya utoaji wa kadi hizo.

Kadi hizo ambazo zitatumika kama vitambulisho na no afueni kwa Wakenya laki sita waliokuwa wametuma maombi ya vitambulisho na kusitishwa kufuatia agizo la mahakama.

Kadi hizo zitatumika kwa utoaji huduma mbalimbali za serikali.

TAGGED:
Share This Article