Rais William Ruto amesema kuwa serikali ilisimama na marehemu Raila Odinga, wakati akiugua na kumsaidia ilia pate matibabu bora.
Akiwahutubia waombolezaji katika chuo cha sayansi na teknolojia cha Jaramogi,Ruto amesema walikuwa na ukuruba na marehemu Raila.
Ruto ametoa changamoto kwa viongozi wengine kuiga mfano wa marehemu Raila na kuweka maslahi ya nchi mbele.