Rais William Ruto ametetea mpango wake wa nyumba za gharama ya bei nafuu kwa Wakenya, akisema unapaswa kukumbatiwa na kila mtu.
Ruto kwenye mahojiano ya moja kwa moja na wanahabari katika Ikulu ya Nairobi, amesema ujenzi wa nyumba hizo unatoa nafasi za ajira na kuwapa fursa walalahoi kumiliki nyumba za kisasa.
Ruto amesema hatalegeza kamba kuhusu mpango huo.