Ruto kuhudhuria hafla ya Waziri Oparanya

Dismas Otuke
0 Min Read

Rais William Ruto anatarajiwa kuhudhuria hafla ya shukrani Waziri wa vyama vya ushirika Wycliff Oparanya siku Jumamosi, nyumbani kwake Emabole mjini Butere kaunti ya Kakamega.

Ruto anatarajiwa kuzindua mradi wa uungnishaji umeme wa Last mile eneo la Aldai kaunti ya Nandi, kabla ya kuelekea Butere.

Hafla ya Waziri Oparanya itahudhuriwa pia na kiranja wa Mawaziri Musalia Mudavadi,na kiongozi wa chama cha ODM Raila Odinga.

Share This Article