Ruto kufanya kikao na wanahabari Jumapili jioni

Dismas Otuke
0 Min Read

Rais William Ruto atafanya kikao na wanahabari Jumapili jioni katika Ikulu ya Nairobi kujadili maswala kadhaa ya kitaifa.

Kikao hicho kitarushwa mubashara kupitia Runinga zote humu nchini kuanzia saa moja usiku.

Maswala kadhaa ya serikali na usimamizi yanatarajiwa kujadiliwa ikiwemo swala la maandamano ya vijana wa Gen Z.

Kikao hicho kitaendeshwa na wanahabari Linus Kaikai, Eric Latiff na Joe Ageyo.

Share This Article
Leave a Comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *