Rais Xi Jinping wa China Alhamisi aliendesha mkutano mjini Lanzhou mkoani Gansu, kaskazini magharibi mwa China.
Wakati wa mkutano huo, Xi litoa wito wa kuhimiza ulinzi wa mazingira ya kiikolojia na maendeleo yenye sifa bora katika eneo la bonde la Mto Manjano.
Xi alisema jitihada hizo zinapaswa kuhimizwa kwa kupanua mageuzi zaidi ya pande zote.