Rais wa zamani wa Nigeria Muhammadu Buhari afariki

Dismas Otuke
0 Min Read

Aliyekuwa Rais wa zamani wa Nigeria Muhammadu Buhari, amefariki akiwa umri wa miaka 82, akipokea matibabu katika kliniki moja jijini London, Uingereza.

Kulingana na familia yake, Buhari alisafiri kwenda London mwezi Aprili mwaka huu ,kufanyiwa vipimo vya kawaida vya afya, lakini hali yake ikazorota.

Buhari aliyezaliwa Disemba mwaka 1942 alizaliwa katika jimbo la Kastsina kaskazini mwa Nigeria na alikuwa na utawala wa kijeshi.

Website |  + posts
Share This Article