Rais wa IOC Thomas Bach kuzuru Kenya wiki ijayo

Dismas Otuke
0 Min Read

Rais wa kamati ya kimataifa ya Olimpiki IOC,Thomas Bach atazuru nchini kwa ziara ya siku mbili kati ya Oktoba 24 na 26.

Itakuwa mara ya kwanza kwa Rais wa IOC kuzuru Kenya na pia inafatia ziara  Rais wa Michezo ya Jumuiya Madola Chris Jenkins, tarehe 3 mwezi huu katika kaunti ya Mombasa.

Website |  + posts
Share This Article