Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amechukua likizo ya siku 90 (EDA), ili kuomboleza kifo cha muwe Hafidh Ameir Hassan.
Alianza likizo hiyo kuanzia jana Jumatano, Septemba 9.
Kulingana na taarifa kwa umma kutoka kwa Katibu Mkuu Kiongozi wa Ikulu, Rais Samia amechukua mapumziko ya EDA.
Makamu wa Rais Deogratius Ndejembi na Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba watasimamia shughuli zote za serikali kwa mujibu wa
Katiba na sheria ya nchi.
Mzee Hafidh alifariki dunia na kuzikwa Septemba 7 kwa mujibu wa itikadi za Kiislamu, akiwa na umri wa miaka 80.