Rais William Ruto amewasili katika kaunti ya Siaya kuhudhuria mazishi ya aliyekuwa Mkuu wa Majeshi Jenerali Francis Ogolla.
Ruto amepokelewa na Gavana wakaunti ya Siaya James Orengo.
Ogolla aliaga dunia kupitia kwa ajali ya ndege ya helikopta iliyoanguka kaunti ya Elgeyo-Marakwet.