Rais William Ruto anahudhuria hafla kufuzu kwa makurutu wa Generel Servivce Unit (GSU), katika chuo cha mafunzo kilichoko Embakasi kaunti ya Nairobi.
Sherehe za 50 za kufuzu kwa makurutu wa GSU pia zinahudhuriwa na Mkuu wa Majeshi.
Makurutu hao wanafuzu baada yaa kukamilisha mafunzo tangu mwaka jana.
Ni hafla ya kwanza kwa Rais kuhudhuria katika kaunti ya Nairobi baada ya kukamilisha ziara ya siku nne katika eneo la Luo Nyanza.