Rais mstaafu Uhuru Kenyatta ametoa zawadi ya Krismasi ya shilingi milioni 1 kwa kanisa la JCM eneo la Ruiru,kaunti ya Kiambu.
Uhuru alitoa ahadi iyo kupitia kwa rununu ya mchungaji wa kanisa hilo huku waumini wote wakiskiza .
Kulingana na habari hiyo Uhuru ameahidi kujumuika na waumini wa kanisa hilo kwa ibada wakati mmona mwaka ujao.