Kiongozi wa upinzani Raila Odinga amehudhuria sherehe ya ndoa ya kitamaduni ya mwanawe gavana wa Siaya James Orengo- Michael Orengo na Samantha Luseno .
Raila aliandamana na naibu mwenyekiti wa ODM Wycliffe Oparanya,gavana wa Busia Paul Otuoma,gavana wa Migori Ochilo Ayako,gavana wa Siaya James Orengo na gavana wa Vihiga Wilber Ottichilo.
Kiongozi wa ODM yupp kwenye ziara ya eneo la Nyanza ambapo amekuwa akifanya mikutano kadhaa.