Pwani Oil yatoa msaada kwa familia 1,0000 zilizoathiriwa na mafuriko

Dismas Otuke
1 Min Read

Kampuni ya Pwani OiI imetoa msaada wa mafuta ya kupikia na sabuni kwa familia 1,000, zinazokabliwa na mafuriko katika eneo la Isiolo Kaskazini na bidhaa nyingine za matumizi .

Kulingana na meneja wa mauzo wa kampuni ya Pwani Oil Rajul Malde wataendelea kujizatiti kusaidia waathiriwa wa mafuriko katika eneo hilo.

Isiolo ni miongoni mwa kaunti Zaidi ya 35 zinazokumbwa na mafuriko kote nchini huku mamilioni ya Wakenya wakiachwa bila makao na maelfu kufariki.

Share This Article