Viongozi wa mataifa ya jumuiya ya Afrika mashariki EAC wamehimiza uwekezaji zaidi katika kilimo na nishati mbadala, ili kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabia nchi na kuboresha upatikanaji wa chakula.
https://art19.com/shows/taarifa/episodes/4367ba44-2a2e-4d29-b1a5-eaba1642ed2d