Pembe za ndovu za thamani ya shilingi milioni 10 zanaswa Embu

Tom Mathinji
0 Min Read

Maafisa wa polisi kwa ushirikiano na maafisa wa huduma kwa wanyama pori, KWS wamewakamata washukiwa wawili waliopatikana na pembe za ndovu za uzani wa kilo 53.

Kulingana na maafisa hao, pembe hizo tatu za ndovu ni za thamani ya 10.6.

Washukiwa hao kwa sasa wanazuiliwa na polisi wakisubiri kufikishwa mahakamani kwa makosa ya kuwa na bidhaa za wanyamapori bila idhini.

TAGGED:
Share This Article