Papa Leo XIV wa 14 anatarajiwa kufanyiwa upasuaji kuondoa uvimbe kwenye figo yake.
Papa alitangaza hadharani Jumapili baada ya maombi katika eneo la St Peters Square mjini Rome.
Papa Leo aliye na umri wa miaka 71, amekubali kufanyiwa upasuaji huo mapema wiki ijayo kulingana na msemaji wake Matteo Bruni.
Aidha,imebainika kuwa upasuaji huo utafanyika katika hospitali ya Gemelli mjini Rome na itamchukua wiki moja kupona baada ya upasuaji.