Bingwa wa Jumuiya ya madola katika mbio za mita 100 Ferdinand Omanyala amejikati kwa fainali ya mashindano ya dunia kwa mara ya kwa ya kwanza katika historia .
Omanyala amefuzu kwa fainali baada ya kuandikisha muda wa sekunde 10 nukta 01 katika nusu fainali.
Bingwa mtetezi Fred Kerley wa Marekani amekosa kufuzu kwa fainali huku Akani Simbine wa Afrika Kusini aliondolewa kwa kuanza vibaya.
Fainali ya shindano hilo itaandaliwa Jumapili saa mbili na dakiak 10 usiku.