Mshambulizi wa Brazil Neymar ametengana na mchumba wake Bruna Biancardi majuma kadhaa baada kujaliwa mtoto msichana.
Yamkini michepuko ya Neymar ndio chanzo cha utengano huo.
Biancardi ambaye ni mwanamitindo alitangaza kuachana na nyota huyo kupitia kwa mtandao wa Instagram.