Ndidi ajiondoa AFCON kwa sababu ya jeraha

Dismas Otuke
1 Min Read
Soccer Football - Africa Cup of Nations 2019 - Group B - Nigeria v Guinea - Alexandria Stadium, Alexandria, Egypt - June 26, 2019 Nigeria's Kenneth Omeruo celebrates scoring their first goal with Moses Simon and Wilfred Ndidi REUTERS/Suhaib Salem

Kiungo wa timu ya taufavya Nigeria Super Eagles Wilfred Ndidi hatashiriki fainali za mwaka huu za AFCON nchini Ivory Coast kutokana na jeraha.

Ndido alikuwa katika kikosi cha Nigeria cha wachezaji 25 .

Mchezaji mwenzake kutoka Leicester City Kelechi Iheanacho ameitwa kikosini kujaza pengo hilo.

Iheanacho aliye na umri wa miaka 27 amekosa mechi mbilizi zilizopita za Leicester kutokana na jeraha.

Super Eagles watafungua kipute cha AFCON Januari 14 dhidi ya Equatorial Guinea kabla ya kuvaana na wenyeji Ivory Coastna Guinea Bissau.

Website |  + posts
Share This Article