Ndege iliyokuwa ikienda kubeba karatasi za mtihani yaanguka Wajir

Marion Bosire
0 Min Read

Watu watatu wanaripotiwa kupata majeraha baada ya ndege aina ya Helicopter iliyokuwa ikienda kubeba karatasi za mtihani wa kidato za nne KCSE ilianguka kayika uwanja wa ndege wa Wajir.

Kamishna wa eneo la kaskazini Mashariki John Otieno alithibitisha ajali hiyo akielezea kwamba ndege hiyo ilipata matatizo ya kimitambo punde baada ya kupaa.

Share This Article