Maafisa wa Polisi kutoka kituo cha Kathare wakishirikiana na polisi wa akiba kutoka huduma ya taifa ya polisi wa maeneo ya Buuri East na Isiolo, wamepata mifugo walioibwa.
Mifugo hao tayari wamerejeshea wamiliki huku polisi wakiendeleza juhudi za kuwanakamata wezi hao ambao walitoroka.