Mfalme Charles wa tatu wa Uingereza azuru Mombasa

Dismas Otuke
0 Min Read
Mfalme Charles wa tatu na Malkia Camilla.

Mfalme Charles wa tatu wa Uingereza na malkia Camilla, wameanza ziara ya siku mbili katika eneo la pwani .

Mfalme na Mkia watazuru kambi ya jeshi la maji la wa Kenya ya Mtongwe eneo la Likoni.

Mfalme Charles wa tatu atazuru kambi hiyo kama amiri jeshi mkuu wa jeshi la maji nchini Uingereza.

Mfalme Charles wa tatu na Malkia Camilla wako nchini kwa ziara ya siku nne.

Share This Article