Mexico wanyakua taji ya gold Cup kwa mara ya 9

Dismas Otuke
1 Min Read

Santiago Giménez alifyatua tobwe la dakika ya 88 na kupachika bao lililowapa Mexico ushindi wa goli moja kwa bila dhidi ya Panama, na kunyakua kombe la Gold Cup kwa mara ya 9 kwenye fainali ya Jumapili usiku .

Fainali hiyo ilisakatwa katika uwanja wa SoFi nchini Marekani mbele ya mashabiki chungu tele.

Kipa mkongwe wa Mexico Mexico Guillermo Ochoa, alipangua nafasi nyingi za wazi za Panama kufunga mabao na kuhakikisha ushindi timu ambayo miaka miwili iliyopita ilinyakau nishani ya shaba katika michezo ya Olimpiki mjini Tokyo, Japan.

Share This Article
Leave a Comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *