Mazungumzo ya maridhiano baina ya serikali na upinzani yamerejelewa siku ya Jumatatu katika ukumbi wa Bomas .
Kikao hicho kinatarajia kushuhudia pande zote mbili zikiwasilisha mapendekezo kadhaa ambayo yamejumuishwa .
Kundi la upinzani linaongozwa na kiongozi wa chama cha Wiper Kalonzo Musyoka huku upande wa serikali ukiongozwa na kiongozi wa walio wengi katika bunge la kitaifa Kimani Ichung’wah.